Unlock smart phone!, Tecno

Hizo simu line one lazima iwe tigo ndio line two itafanya kazi ila ku unlock mcheki Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Hizo simu line one lazima iwe tigo ndio line two itafanya kazi ila ku unlock mcheki Mwl.RCT

Ok,kuanzia juzi nacheki nae Whatsapp bado hajaleta hitimisho,Simu hizi nadhani in mpya toka tigo ndio maana bado zinaleta Tatizo mpaka sasa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama malipp yapo si ungeenda moja kwa moja kwa mafundi kuliko kusubiri humu...
Alafu mafundi wengi wanaziogopa za promotion, hivyo ahakikishe huyo fundi yupo safi vinginevyo hawataiweza, binafsi me mwenyewe nilinunua simu TECNO H6 nilisahau password kilichotokea nikapeleka kwa fundi baada ya kujaribu kufanya trouble shooting nikashindwa ile ya (ku-hold power off na sehemu ya kuongezea sauti ili baadae una reboot). Mie ile simu nilikuwa nimeinunua dukani kabisa na nikawa naitumia kwa line ya airtel na voda ila niligundua baadae ile simu muuzaji anazinunua za promotion alafu anazi-unlock na kuziweka dukani kwa kuwa ilikuwa ina apps ya tigo pesa.

Nikaipeleka kwa fundi akaleta issue kwamba itabidi arudishie file lake na analo wakakomaa nayo wakafanikiwa ila kichekesho ikawa sasa ili line nyingine ifanye kazi lazima uweke tigo (hapa ile hofu yangu ya awali ya kwamba simu ya promotion ndipo nilijua ipo kweli maana walivuruga system kiasi kwamba ikaua IMEI namba na nilikuwa mkoa). Nilivyoenda Dar nikapeleka ofisi za TECNO ila tena ikaonekana kama nimeiiba maana walinitaka receipt kwa kuwa ilikuwa imeua IMEI but baadae wakaishughulia ikatengemaa na kuirudisha ktk kiwango chake original na ililoga of course mie ndo niliisababisha nikaipeleka tena wakairekebisha na inadunda.

Kikubwa kama ana receipt au kama hana ila ana uhakika ni simu original na haijaibiwa popote, aipeleke ofisi ya TECNO watamtengenezea bure (ila kama yupo Dar na simu kikubwa iwe imenunuliwa ndani ya mwaka na iwe haijawahi kuchokonolewa na mafundi wengine). Jamaa wapo opposite na police post Msimbazi utaona ghorofa lina bango la TECNO juu akipanda ngazi juu anawapa wanamrekebishia bure kabisa
 
,nipo shy ungekuwa karibu ningekufungulia, ninayo unlocker box inaitwa sigmakey ina pack 1 na 2
 

Tecno pasua vichwa
 
Duh! Kuna kitu nimeona kwenye hizi tecno y3 za Tigo
SIMU nyingi ili u-unlock kupitia sigmakey basis lazima SIMU iwe imerotiwa, nimejaribu vifaa vingi vya kuroot iroot,kingroot,vroot na geniun root lakini zote haziiwezi :A S-confused1:
 
Duh! Kuna kitu nimeona kwenye hizi tecno y3 za Tigo
SIMU nyingi ili u-unlock kupitia sigmakey basis lazima SIMU iwe imerotiwa, nimejaribu vifaa vingi vya kuroot iroot,kingroot,vroot na geniun root lakini zote haziiwezi :A S-confused1:

wakuu ni hivi hizo app zipo playstore nina huawei y530 ya tigo nataka kui unlock please nisaidieni
 

mkuu ulivojarib ku-hold power na volume keys...simu ilikua na memory card ndani yake or haikua nayo?
 

nimependepa mwanzo wa picha hadi kubwa la maadui lilivyokufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…