At Calvary JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 4,566 Reaction score 3,642 Nov 11, 2025 #1 Habari za kazi Samahani wakuu. Natumia unlimited ya Yas. Lakini speed yake iko chini sana baada ya kurudishwa ila kabla ilikuwa vizuri. Ningependa kujua kwa wengine wanaotumia wanapata experience gani. Dar, kwa sasa.
Habari za kazi Samahani wakuu. Natumia unlimited ya Yas. Lakini speed yake iko chini sana baada ya kurudishwa ila kabla ilikuwa vizuri. Ningependa kujua kwa wengine wanaotumia wanapata experience gani. Dar, kwa sasa.