Unknown 0-DAY vulnerability found on BIKOSPORTS TANZANIA

Thefreedom

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
319
Reaction score
316
HELLOW guys

Thefreedom hapa

karibu sana katika jamvi letu la hacking and security.

leo sina story sana ila nimekuja kuwapa taarifa wapenzi wa mpira wanaotumia bikosport TANZANIA kwamba tumebaini powerful zero day vulnerability kwenye rest API SERVER za bikosports tanzania kupitia JSON .

na hii hupelekea hackers kuweza kuingia kwenye account ya mtu yyte aliyeregister kwenye system ya biko kwa ku intercept traffics request ambazo zinabeba request data zenye reset password codes.

sasa baada ya kugundua huu udahifu ikabidi tuprov kwa kusuka powerful python exploit ambazo zitaenda sniff hzo request data na ku export output ambayo imebeba hizo reset password codes.

TUNASHAURI wapenzi wa bikosport kuweni makini katika hili ...na pia uongozi wa biko kama mmeona email yetu basi mnaweza angalia utaratibu kwa kufix hiii kitu .

for more security updates PLEASE follow HAPA

okay hii inakuaje?

1. Umeregister na una acc yako ya bikosport kama unavyoona hapa chini



2. sasa hacker akijua namba ya simu ulioregister nayo basi ataenda kwenye reset password page ataweka namba yako na atapress get reset code



3. baada ya hapo biko watatuma reset codes kwenye namba yako ila huyu hacker anaweza intercept hizo request na kupata hizo codes in 0 sec.
na kujaza form ya kuchange password so nitarun hio python exploit ku intercept hizo reset codes kwa msaada wa jason.



baada ya hapo ataandika new pass na atapress change password .



4. wewe kwenye simu utapewa info tu kama hapa chini



5. kama unavyoona hio picha juuu hizo codes ndizo zile zilizokuwa intercepted hapa




mpaka hapo uko hacked na wanaweza fanya chchte as normal user.

KUANGALIA video kilichoongelewa juu press this link BONYEZA HAPA KUANGALIA

S E C U R I T Y I S O U R M Y T H Z

for more security updates PLEASE FOLLOW
 
Biko/Bikosports ni matapeli waliofumbiwa macho hao hackers kwanini hawafanyi hivyo kwa M-Bet au Sportpesa?...ovaaa!!
 
Naomba nikujibu ki ethical ....ninkwamba hiii niliyoiweka ni part ya kua access hizo traffic kuzichukua kwnye server yao ...ila ukiwithdraw hio pesa biko kama ulivyosema wanakupa utaratibu ila sasa kuna namna ambayo si vema kuweka wazi ila inshort biko system yote haiko vzr wale security analysis wanaelewa hawa toka miez kama mitatu iliyopita system yao nzima na gateway zao ziko na udhaifu


Ila kikubwa kitakachompata customers ni utapeli wa kuibiwa pesa zao either zilizopo kwneye wallet au scamming .

Swali zuri mzeeee sasa sijui kaama nitakuwa nimekujibu kama ulivyotaka
 
Na kama nitakuwa nje na ukivyotaka basi i think ni vema nikalifanyia kazi then nije na point za msingi za kuzungumza ila kwasasa watu tu watake precautions
 
Vp kuhusu server za makampuni mengine kama sportpesa, betpawa, supabet, pmbet na princessbet
 
Vp kuhusu server za makampuni mengine kama sportpesa, betpawa, supabet, pmbet na princessbet
HONESTLY...sportpesa sijawahi kaa kuichek,betpawa,supa, ila princess,hawako vizuri (mbet wamejitambua nw pamoja sio 100%)
 
KAZI nzuri Mzee lakini bila ya kuweka hizo code za python na hiyo json.. kwann mtu asiamini hiyo vuln haiko exploitable?

 
Hawa jamaa kuna figisu nyingi sana wanafanya nyuma ya pazia..kwa teknolojia yote yanawezekana...sasa kwa wale ambao hawatunzi kumbukumbu kama ku screenshot mikeka ni wahanga sana wa hili..wanapigwa sana..
 
me binafsi ndio maana hela yangu huwa hailali kwenye account ni heri nipate usumbufu wa kudeposite. huwa simuamini yeyote kwenye maswala ya pesa.ingawa situmii kampuni za hovyo kama hiyo biko.
 
Mbona rahisi tu, mtu ku renew namba unaenda kwa wanaosajili pale Manzese unampa 15000 na namba ambayo unataka kurenew anakuletea kibati chako cha line fasta. Kisha una with draw mpunga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…