University of DODOMA..

chaggaa15

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
567
Reaction score
468
MSc. In Natural Resource amnagement

Wakuu naomba kujua kuhusu hii kozi kwa chuo cha dodoma hasa marketability yake

Ada yake kwa mwaka

Nature ya masomo yake na ugumu wake...

Nataka nikaisome ila siifahamu kwa kirefu


Asanteni sana
 
we ungeuliza khs kozi tu, siyo lzm iwe ya udom,,hiyo ipo vyuo vingi. au we unataka ya udom tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…