avatar yako umeipeleka wap tena
Hahaha nimechange Kwa mda tuu mkuuavatar yako umeipeleka wap tena
Waambie vijana hao washazoea kupigana exile [emoji38] [emoji38]Kumbukeni kuna UKIMWI msije tianatiana hovyo kama mambwa koko mtakufa kibudu. Sawa madogo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaah hatariNILICHELEWAGA KURIPOT THIRD YEAR NILIPAMBANA NAO SANA
Link hii group la whatsap anaependa kujoin ni kwa wana udom continuers na upcoming student
Guys join group la wana udom lina wazoefu hili mpate japo mwanga kabla ya kufika chuo
Sema unataka mademu tuu huna loloteGuys join group la wana udom lina wazoefu hili mpate japo mwanga kabla ya kufika chuo
Sent using Jamii Forums mobile app