nashukuru sana MAB, ila hizo softs ninazo; join air na internet key but issue inakuja ni ya mama 1 kaniomba na yeye ni m2 wakutumia pc za watu hana yake so anatka akiw kw office, au kw marafk zake atumie...!
Mi ninayoT-Mobile Web & walk ExpressCard III unaweza pata speed mpaka 7.5Mbps bei 150,000 (fixed)
nipigie 0754 432409 kwa maongezi ya manunuzi tu ......sio punguzo na nyimbo