Binafsi sioni tatizo la hizo fees, tatizo ni je sisi kaa waTZ tumewekeza huko kwenye Utalii kiasi kwamba tutafaidika na kuja kwa watalii.?? Yes or no?
Kama hatujawekeza, na hatuna mpango wa kuwekeza, ni kazi bure kuhangaika kuweka policy in place ili wageni 'wawekezaji' wafaidike..
Kuna thread niiona miezi kadhaa ilopita kuhusu utalii Znz, mleta thread akionesha jinsi gani wawekezaji wavyofaidika na vivutio vyetu kwa kuwalipisha watalii kwa dola, bidhaa za mahotelini zinatoka kwao, na wanawalipa wazawa fedha mbuzi (underemployment) achilia mbali kuwaajiri wageni ktk kaz ambazo zingeweza kufanywa na wazawa.
Hii nchi haiishi kunishangaza.