Ungekuwa wewe ungefanyaje

Pole, ndo ishakuwa hivyo tena piga moyo konde ndo ukubwa huo
 
Kaa kimya na ngombe usidai baaaaaaaaas.
 
Kwa maisha ya sasa hivi kama mtu anakufanyia hvyo mapema bas we usidai chochote kile acha tafta kingne bora zaidi ya kile sku moja utakuwa bora zaid yake
 
Mkuu huwa hatutoi chozi tukiondokewa na matatizo kama hayo. Ulitakiwa umpe hongera kwa kuona hafai kuwa na wewe jioni ukutane na vijana mchafue meza siku iishe maisha yaendeleee.
 
Mshukuru Mungu tena katoe sadaka kanisani Kuna kikubwa kakuepushia.
 
hiyo ni bahati ya mtende, heria amekwambia kabla kuliko angekwambia baadae. nenda kachukue vitu vyako anza maisha mapya
 
Ulishindwa nini mtia mimba.!? Mtalia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…