255boy Member Joined Dec 16, 2016 Posts 13 Reaction score 4 May 19, 2017 #1 kwa mahitaji ya unga wa samaki kama chakula cha kuku na nguruwe 0762655938
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,932 May 19, 2017 #2 nitakupigia kukuuliza bei, upo wapi, na kama utaweza kunitumia huku kilwa kivinje
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,919 May 19, 2017 #3 Halaf cha kushangaza mavi ya kuku na aya masalia ni chakula cha samaki,..
babilas25 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 483 Reaction score 359 May 20, 2017 #4 BIGstallion said: Halaf cha kushangaza mavi ya kuku na aya masalia ni chakula cha samaki,.. Click to expand... Kinyesi cha wanyama kama Kuku bata nk. Si chakula cha Samaki bali hutumika kama mbolea kweny bwawa la Samaki
BIGstallion said: Halaf cha kushangaza mavi ya kuku na aya masalia ni chakula cha samaki,.. Click to expand... Kinyesi cha wanyama kama Kuku bata nk. Si chakula cha Samaki bali hutumika kama mbolea kweny bwawa la Samaki
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,919 May 20, 2017 #5 babilas25 said: Kinyesi cha wanyama kama Kuku bata nk. Si chakula cha Samaki bali hutumika kama mbolea kweny bwawa la Samaki Click to expand... Mbolea manake nn,..!
babilas25 said: Kinyesi cha wanyama kama Kuku bata nk. Si chakula cha Samaki bali hutumika kama mbolea kweny bwawa la Samaki Click to expand... Mbolea manake nn,..!
Penelope JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 713 Reaction score 643 May 24, 2017 #6 255boy said: kwa mahitaji ya unga wa samaki kama chakula cha kuku na nguruwe 0762655938 Click to expand... WEKA BEI NA UNAPATIKANA WAPI,,,
255boy said: kwa mahitaji ya unga wa samaki kama chakula cha kuku na nguruwe 0762655938 Click to expand... WEKA BEI NA UNAPATIKANA WAPI,,,
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,643 Reaction score 5,527 Jun 7, 2017 #7 255boy said: kwa mahitaji ya unga wa samaki kama chakula cha kuku na nguruwe 0762655938 Click to expand... Ingefaa zaidi kama ungesema unapatikana wapi na bei ikoje
255boy said: kwa mahitaji ya unga wa samaki kama chakula cha kuku na nguruwe 0762655938 Click to expand... Ingefaa zaidi kama ungesema unapatikana wapi na bei ikoje