Unfinished house ukonga mombasa 15 mill

Unfinished house ukonga mombasa 15 mill

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Habari wakuu. Now bei imepungua, bei ya mwisho ni 15 mill.
Unfinished house
Vyumba vitatu vya kulala na kimojawapo master
Sebule na jiko
Gari inafika mpaka kwenye Nyumba.
1474888646790.jpg
 
Kweli hali mbaya.
Ulikuwa unauza 20mil.
Mteja alihitaji kwa 14mil ukamjibu mwisho 18mil.

Leo unauza 15mil sasa si bora ungechukua ile 14mil fasta ili ufanye mambo yako.

Kesho nakuja niangalie nikiipenda tufanye biashara.
 
Umeona eeh,sasa mteja wa hiyo 15ml atamtafuta kwa tochi.
 
Kweli hali mbaya.
Ulikuwa unauza 20mil.
Mteja alihitaji kwa 14mil ukamjibu mwisho 18mil.

Leo unauza 15mil sasa si bora ungechukua ile 14mil fasta ili ufanye mambo yako.

Kesho nakuja niangalie nikiipenda tufanye biashara.
Mkuu njoo uingalie uchukue kwa 14 tufunge biashara
 
Mhh haina tatizo lolote ikuwemo Kiwanja? Tuwasiliane kesho nije kuiona document zote ziwepo na ushahidi wa mwenyekuti wa serikali za mtaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom