Unfinished House inauzwa

Unfinished House inauzwa

SONGEAKWETU

Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
18
Reaction score
13
Wadau
Kuelekea Oktoba 25,nauza Unfinished House yangu pichani.
Ipo Madale,Dar es Salaam. Ina Hati na Eneo la Uwanja ni Square Meter 1103. Ina Vyumba 4 vyote Master,VIP Lounge,Study Room nk.
Bei ni Ml.130
Karibuni
0654 99 83 26
 
Attachments

  • 1443000766691.jpg
    1443000766691.jpg
    582.5 KB · Views: 414
Duh mi bana dina hela ila nimeipenda ungrweka bei walau 100,
 
Wadau
Kuelekea Oktoba 25,nauza Unfinished House yangu pichani.
Ipo Madale,Dar es Salaam. Ina Hati na Eneo la Uwanja ni Square Meter 1103. Ina Vyumba 4 vyote Master,VIP Lounge,Study Room nk.
Bei ni Ml.130
Karibuni
0654 99 83 26

Hii nyumba imeuzwa kwa muda mrefu kulikoni . punguza bei . kama utakubali kuswapu na yakwangu ambayo imesha ezekwa pamoja na umeme upo ndani ,ni pm
 
Kwa kumbukumbu zangu hii nyumba inakaribia mwaka inanadiwa kuuzwa.
Ila ume piga picha angle nyingine tu.

Jaribu kujitathmini kwenye Bei mkuu.Hata kama hayo maeneo ni ghali kwa viwanja.Ila unapouza hutakiwi kuangalia hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom