kuna undugu huu
kwenye sherehe, misiba n.K wanajitoa kwa hali na mali ili wasitenge / waonekane wema maisha yao huwa yakulipiziana hata km siku hyo utakuw umefilsika na una maden juu km kuna sherehe imtokea y undug yakupasa uuze hata furnuture il uhudhurie,, undg w hiv hauna chembe yoyte ya UPENDO,, umejaa chuk, visas, ubabe, fitina n MAJUNGU,,, huo ndo undugu uliopo wa sas km huna ubavu wa kushirikiana nao bora ujitenge,,, coz wanafanya mambo makubw na mazur il na wao waje wafanyiwe vivo hivo.