The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 543
- 1,166
Unaanza anzaje?Bonjour
Hivi unaweza kuwashahuri wazazi wako , au mmoja kati ya mzazi wako, azae / aongeze mtoto/ watoto.
Ni swali tu
Hayakuhusu! Ila labda kama wazazi walikwambia mtoto anatoka BahariniBonjour
Hivi unaweza kuwashahuri wazazi wako , au mmoja kati ya mzazi wako, azae / aongeze mtoto/ watoto.
Ni swali tu
Fanya mpango uondoke haraka hapo nyumbani kabla hawajakufukuzaBonjour
Hivi unaweza kuwashahuri wazazi wako , au mmoja kati ya mzazi wako, azae / aongeze mtoto/ watoto.
Ni swali tu
Kabla hawajamfukuza😃😂😂😂Fanya mpango uondoke haraka hapo nyumbani kabla hawajakufukuza
Hahaha mtoto wamenunua dukaniHayakuhusu! Ila labda kama wazazi walikwambia mtoto anatoka Baharini
Nina 29Una umri gani? Labda Mzee atafute nyumba ndogo ila kama upo above 25 nafkr mama menopause imekoma or unless uwe ndo first born afu mama aliwahi kukupata
Nimeuliza tu swali..Kwamba unataka mdogo wako si ndio
Sasa hapo wanaongezaje mtoto? Adoption au? Refer to my first point kuna jibu paleNina 29
Mshua wa 71
B mkubwa wa 75
Asses
Sawa,,, inategmea na nature ya wazazi wako lakini naona kama sio busara sanaNimeuliza tu swali..
Huyu dogo Bado ana mentality hiyoHahaha mtoto wamenunua dukani