Ni miaka Minane (8) tangia afanye huo mtihani, amesahau mambo mengi aliyojifunza, kwenye cheti ana DDD za PCM lakini kichwani zishafutika. Hata ukimwambia akuelezee kanuni ya mwendo(Law of motion) alishasahau.
Ushauri, arudie mtihani wa kidato cha NNE, tena aanzie kidato cha tatu ili apate sifa, ujuzi na maarifa ya PCM.
Kwa sasa anachowezafanya ni kwenda vyuo vya ufundi asomee ujuzi.
Kila la kheri