Ukiwa na elimu kubwa kama masters / phd unaweza kwenda,
Kikomo cha kujiunga jeshini kinategemea na elimu yako, kadri unavyokuwa na elimu kubwa na kikomo kinaongezeka.
mfano form 4 mwisho 23
LAKINI !!
Unahitaji connection, kwa elimu ya masters / phd watahofia unaenda kupora ugali wa mtu ama kupanda vyeo haraka kwasababu polisi wengi wana elimu za kawaida, kwahio huwa wanawabana maksudi wenye elimu kubwa, ukienda kivyako tegemea uambiwe ushakuwa mzee