Katika Tasnia ya muziki je, unawakumbuka hawa na nafasi walizokuwa wana-play????
1. LOKASA YA MBONGO
2. NGOUMA LOKITO
3.DALLY KIMOKO
3. BILEKU MPASI
4. DIBLO DIBALA
5. MOBILO
6. KANDA BONGOMAN
7. SHIMITAH
8.KABASELE YAMPANYA
9. YONDO SISTER
10. MADILU SYSTEM
11. BALLOU CANTA
Miaka ya 1990s mliokuwepo mnasemaje mavituzi yao ?
Ghato beevans
king Kester Emeneya
tshala muana
Kuna sehemu nimekaa DJ kila siku lazima apige wimbo wa Ghato.
Gentamycine so unamkubali Diblo zaidi ya Dally Kimoko ?Wa Kwanza Ni Bingwa Wa Kupiga Rhythm Gitaa.
Anayefuata Ni Bingwa Wa Kupiga Bass Gitaa.
Afuatae Ni Bingwa Wa Kutekenya SOLO Gitaa Japo MFALME Ni Diblo Dibala.
Next Ndiyo Mwanzilishi Wa ATALAKU ( KUGHANI / KURAPU ) Kongo Nzima.
Next Ni Mwimbaji Mzuri Wa Sauti Ya Pili
Next Ni Bingwa Wa Kukata Mauno
Next Ni Bingwa Kubuni Styles Za Kucheza
Next Ni Mwanzilishi Wa Mapigo Ya SEBENE na Sasa Ni MAREHEMU.
Next Ni Mwanzilishi Wa Mapigo Ya VUANDILA.
Next Ndiyo Mwalimu Wa Mapigo Ya Taratibu ( Rhumba ) Kongo Nzima Na Sasa Ni MAREHEMU.
Wa Mwisho Ni Bingwa Wa KUPANGILIA NYIMBO na KUTUNGA Mashairi.
Ukitaka kumpenda ghatto tafuta azalaki se hawa, kaa kitako, mimina wine yako kwenye glass taratiiibu huku unaisikiliza. Hutaacha kumpenda. Sijui alikwama wapi huyu jamaa. Maana alivuma kama moshi tu na kupoteaKuna sehemu nimekaa DJ kila siku lazima apige wimbo wa Ghato.
Uchambuzi uliotukuka thanks upo vizuri.Wa Kwanza Ni Bingwa Wa Kupiga Rhythm Gitaa.
Anayefuata Ni Bingwa Wa Kupiga Bass Gitaa.
Afuatae Ni Bingwa Wa Kutekenya SOLO Gitaa Japo MFALME Ni Diblo Dibala.
Next Ndiyo Mwanzilishi Wa ATALAKU ( KUGHANI / KURAPU ) Kongo Nzima.
Next Ni Mwimbaji Mzuri Wa Sauti Ya Pili
Next Ni Bingwa Wa Kukata Mauno
Next Ni Bingwa Kubuni Styles Za Kucheza
Next Ni Mwanzilishi Wa Mapigo Ya SEBENE na Sasa Ni MAREHEMU.
Next Ni Mwanzilishi Wa Mapigo Ya VUANDILA.
Next Ndiyo Mwalimu Wa Mapigo Ya Taratibu ( Rhumba ) Kongo Nzima Na Sasa Ni MAREHEMU.
Wa Mwisho Ni Bingwa Wa KUPANGILIA NYIMBO na KUTUNGA Mashairi.
Mpongo love alikua na sauti ya utatanishi, nyoka lazima atoke pangoniVibao vya hawa wadada vinanikosha sana:
mbilia abel kibao kinaitwa beyanga na huyu mpongo love kibao kinaitwa ndaya