Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,453
- 3,297
SawaNataka kufeli.
Uko sawa kabisaUnaweza ukapambana, lakini usifanikiwe.
Mafanikio ni mfumo, siyo unatumia Nguvu gunia akili kijiko hapa lazima utafeli tu.
Yuko msibaniYuko vyombo sasaivi bwashee
Imekuwaje kwani?Nataka kufeli.
😂😂Yuko msibani
Wasiokuwa na dili mkuu akili wanazo, sema mungu hajatoa kibali tuUkwel mchungu yan mwanaume unaishi nyumba kwa siku unalipa mia 8 na 50 kulala, hizo akil utapata wapi?
Mkuu hii mpiga debe wa bajaj pale kabwe MBeya anaipata asubuh tu na mapema haina haja ya kuwa na dili kubwa sema vijana wengi wataka kazi lain lain na za kuonekana hata kama anapata kidogoWasiokuwa na dili mkuu akili wanazo, sema mungu hajatoa kibali tu
Kazi na utu sheikhMkuu hii mpiga debe wa bajaj pale kabwe MBeya anaipata asubuh tu na mapema haina haja ya kuwa na dili kubwa sema vijana wengi wataka kazi lain lain na za kuonekana hata kama anapata kidogo
Very sentiment, comfort zone imekuwa kama kimbilio rahis la maelezo ya wengi kati yetu kuchambua sababu za mtu kuwa maskini. Lakini comfort na relaxation havin maana sawaMaisha ili usonge mbele yanahitaji discomfort zone, ukiona umerelax na kuridhika na ulicho nacho basi sawa but usiwatumbulie macho wanaokuzidi.
Tumia akili gunia nguvu kijiko na akili yako itakuwa bize kutafakari halafu utakuwa na stress hadi ufanikiwe ndicho alichokimaanisha mtoa mada.Unaweza ukapambana, lakini usifanikiwe.
Mafanikio ni mfumo, siyo unatumia Nguvu gunia akili kijiko hapa lazima utafeli tu.
Kweli kafiwa..😂😂
Bwashee hawezi