Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Anapromote blog yake huyoSi useme jina la hiyo app kuwa ni "sd insight" na inapatikana playstore bure.
Basi elezea hapahapaCo promo tu kuna picha na maelezo ya ziada
Maelezo ni marefu na picha pia huku picha hazikaiBasi elezea hapahapa
ushaliwa., cha kufanya ni kununua nyingine.Du!kweli rahisi gharama nimenunua flash drive 2 za GB 34 kwa 30000 moja ya data transfer kufika home zinasoma lkn hazi copy data vzr, ushauri Kuna chochote naweza fanya au ndio nimeliwa na wajanja?
Pole sana,yan kwa sasa zimeenea sana memor fake na flash mwambie muuza duka kabsa kuwa utarud kama sio yenyeweDu!kweli rahisi gharama nimenunua flash drive 2 za GB 34 kwa 30000 moja ya data transfer kufika home zinasoma lkn hazi copy data vzr, ushauri Kuna chochote naweza fanya au ndio nimeliwa na wajanja?