Unataka kuacha Kazi?

EEMC TAYOMI umenikumbusha Dkt Justine founder wa hiyo taasisi "change the youth to change the world"
 
Jk aliacha jeshi akiwa officer mkubwa tyu luten canal pamoja na kinana,kinana alikuwa canali jk kabna sana matako kwa kinana hahahaha leo kaacha historia na kamanda wake kinana


Sema me hata nikiwa luten usu(nyota moja) siaachi jeshi kazi kwa kukurupuka hata kwa panga.......labda private walinda mipaka kila siku guard aisee wna moyo!!!!
 
Hahaaaaa umeona eeeeh?
 
Kwa utawala huu hamna haja ya kuacha kazi wala kusoma vitabu vya inspiration maana utaambulia majuto, hakuna ufanisi. tubaki tu kusoma vitabu vya dini ili vitupe ujasiri wa kuvumilia na kusubiria..

nk.
 
Definition ya success in life imekupita pembeni sana.... Muombe mungu wako akusaidie(Kama una mungu anyway)
 


Kila siku Kiyosaki,Kiyosaki..Tafuteni hero mwingine aisee,huyu ni too much sasa!
 
Kim kiyosaki ni mtoto wa Robert kiyosaki! Sio rafiki.au unamzungumzia Kim yupi?
Kim ni mke wa Robert Koyosaki...
Wanachapisha vitabu vya financial literacy,Wana fanya biashara za Mafuta,Real Estate na Stocks.
Tafuta vitabu vyao..
1.Rich Dad Poor Dad
2.Cash flow Quadrant etc etc.
Tembelea website ya pdfdrive(dot)net ji registe uanze ku download load vitabu bureeee
 
Kwa utawala huu hamna haja ya kuacha kazi wala kusoma vitabu vya inspiration maana utaambulia majuto, hakuna ufanisi. tubaki tu kusoma vitabu vya dini ili vitupe ujasiri wa kuvumilia na kusubiria..

nk.
Hahaaaaa haaaahaa ni kusoma tuuu kwa faida zaidi ya kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…