Mbunge Luswe
Member
- Jan 23, 2018
- 56
- 23
Kim kiyosaki ni mtoto wa Robert kiyosaki! Sio rafiki.au unamzungumzia Kim yupi?Umewahi shuhudia mtu ana kazi nzuri tu na inamlipa vizuri lakini anaamua kuacha?
Unafikiri kwanini anaacha na kuanza kufanya kitu kipya?? Au mtu anaamua kustaafu kabla ya umri wa kustaafu??
#ipoIvi#
Kuna nguvu kubwa zaidi ya kufanya kitu unacho kipenda zaidi ya kazi na mshahara unao pata kwa kitu au kazi usiyo ipenda.
Hakika kufanya kitu ukipendacho, utafanya kwa..
Ubora
Utajituma
Matokeo ni makubwa zaidi.
Wengi walio amua kuacha kazi na kufanya vitu wavipendavyo hawajawahi shindwa, wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa zaidi ya kufanya kazi usiyo ipenda.
Kuna kitu kinaitwa UNFAIR ADVANTAGE. moja ya vitu hivi ni kustaafu mapema. Utapata ugumu lakini yapo mafanikio makubwa zaidi ya kusubiri kinua mgongo baada ya miaka 60.
Explore your potential gift uliyo nayo, anza kuitendea kazi.
Robert Kiyosaki na rafiki yake kim walistaafu wakiwa vijana na leo ni mabilionaire wakubwa.
Jipe moyo wa ushindi. Uinuke tena.
EEMC TAYOMI.
[HASHTAG]#IshiKwaMalengoTimizaMalengoYako[/HASHTAG] #
Ni tz pekee mtu anatembea kutwa nzima juani anauza vitabu vya jinsi ya kutajirika ukiwa na mtaji mdogoKim kiyosaki ni mtoto wa Robert kiyosaki! Sio rafiki.au unamzungumzia Kim yupi?
Uko sahihi kabisa mkuu. The proper function of a MAN is to LIVE, not to EXIST![emoji106]Umewahi shuhudia mtu ana kazi nzuri tu na inamlipa vizuri lakini anaamua kuacha?
Unafikiri kwanini anaacha na kuanza kufanya kitu kipya?? Au mtu anaamua kustaafu kabla ya umri wa kustaafu??
#ipoIvi#
Kuna nguvu kubwa zaidi ya kufanya kitu unacho kipenda zaidi ya kazi na mshahara unao pata kwa kitu au kazi usiyo ipenda.
Hakika kufanya kitu ukipendacho, utafanya kwa..
Ubora
Utajituma
Matokeo ni makubwa zaidi.
Wengi walio amua kuacha kazi na kufanya vitu wavipendavyo hawajawahi shindwa, wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa zaidi ya kufanya kazi usiyo ipenda.
Kuna kitu kinaitwa UNFAIR ADVANTAGE. moja ya vitu hivi ni kustaafu mapema. Utapata ugumu lakini yapo mafanikio makubwa zaidi ya kusubiri kinua mgongo baada ya miaka 60.
Explore your potential gift uliyo nayo, anza kuitendea kazi.
Robert Kiyosaki na rafiki yake kim walistaafu wakiwa vijana na leo ni mabilionaire wakubwa.
Jipe moyo wa ushindi. Uinuke tena.
EEMC TAYOMI.
[HASHTAG]#IshiKwaMalengoTimizaMalengoYako[/HASHTAG] #
Kwani mtoto wako hawezi kuwa rafiki yako mkuu?Kim kiyosaki ni mtoto wa Robert kiyosaki! Sio rafiki.au unamzungumzia Kim yupi?
Kweli kabisaUko sahihi kabisa mkuu. The proper function of a MAN is to LIVE, not to EXIST![emoji106]
Hahaaa Mkuu usijali zipo. Hutotamani tena kuajiriwaYaani nilijua umeandika strategies zA kuacha kazi yaani mtu afanye nini ili aache kazi asipate taabu sasa wewe tena unaleta habark zako.
Tena?? Una proffesional gani?mkuu umeacha kazi wap me niende nika kave ur chance,
health,Tena?? Una proffesional gani?
Hahaha kuna wale wanaosoma vitabu vya kuwa matajiri lakini bado masikini.Ni tz pekee mtu anatembea kutwa nzima juani anauza vitabu vya jinsi ya kutajirika ukiwa na mtaji mdogo
Upo wap?health,
we acha tu, gvt, gvtMkuu, health utakosaje ajira?? Zahanati hazina wataalum
Hahaaa bora kuacha tuu Mkuumi nitaacha kwa kweli
Mkuu upo Mkoa upi?we acha tu, gvt, gvt