Unasemaje kuhusu hii picha?

Ana jumla ya masikio manne? Sababu naona sehemu ya macho imekuwa replaced na masikio.
 
Atafanyiwa upasuaji na kuwekwa macho baada ya madaktari kuacha mgomo na serikali ikiwalipa vema
 
Ni mzuri sana kwa kazi zetu,kwa kua wakati akiwa anapay atention kwa victim ni ngumu kugundulika so far
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…