Unapojiona Kuwa Uko Sahihi...!

Kuwa kwako sahihi, hakumaanish mimi nipo wrong.u haven't seen life from my side

Lakini wengi husema kuwa mtu huwa hayaoni matendo yake kama anayoonwa na watu kiongozi.

Inakuwa rahisi watu kukuona kuliko vile wee unavyojiona mkuu...?
 
Ukitaka kuona sura tofauti kwenye kioo badili picha si kioo rafiki, relate this to your life.

Sasa kiongozi ukibadili picha si ni lazma itakuja sura tofauti aisee haiwezi kubaki taswira ileile kwenye KIOO coz KIOO huakisi Kile kilichopo mbele yake mkuu.
 
Maana yake, ukichoshwa na sura ileile badirili picha..!

Ata maishani ni vyema ukabadili style ya kuishi maisha yatabadirika..

Ni kweli kabisa aisee unachosema mkuu.

Uko sahihi kiongozi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…