K Kiwalani finest Senior Member Joined Jul 6, 2024 Posts 116 Reaction score 85 Apr 16, 2025 #1 Kujifunza kitu kunatakiwa mtu awe na akili . Mtu asiye na utimamu wa akili ndiye hata hudiriki kuapa kwa Mwenyezi Mungu na Kisha kuishi maisha yanayopiga kiapo huku akiamini anaowaongoza ni Mazamwamwa
Kujifunza kitu kunatakiwa mtu awe na akili . Mtu asiye na utimamu wa akili ndiye hata hudiriki kuapa kwa Mwenyezi Mungu na Kisha kuishi maisha yanayopiga kiapo huku akiamini anaowaongoza ni Mazamwamwa