Unapendelea kuvaaje ili utoke chicha?

Maashalah...mtani kama nakuona vile waaalah.....
 
Nimekukonyeza kwa njia ya maandishi....
 
mara moja moja mkuu.... kama weekend kwenye offer siwezi enda na gauni iliyoachia ,.. navaa kasjkean jeans
Basi sawa.weekend hii nakupa offer namimi nione mtoto wa kichagga unavyotokelezea na mitoko ya kiweekend.
 
katika vitu napenda ni kumuona mwanaume kapendeza wooow nakodoa macho balaa raba jeans coti ya suti na anukie utamu ahahahaha si wale wanaovaa boxer wiki tatu
hahahh koti la suti unapata na skuna matata, jeans blue ukipata na shati la kuchomekea mkanda nje hapo ni yereuwii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…