Kama ni muislam muite Ayman ,kama mkiristo muite Aaron au Marcus
Yeye ametaka majina ya kiume tu angesema ya kikabila ningempa.Ina maana ya Kiafrika au Kitanzania hakuna linalofaa?
Nkurumah, Sokoine, Shaka, Mkwawa,
Hahahaa.Muite Jecha
MorningHahahaa.