Unapenda kukumbatia eeeeh

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari zenu wana Jamiiforums,

Leo napenda kuwapa onyo wanaume wenzangu ambapo mnapenda mambo ya kukumbatia wasichana ambao ma
nawafahamu kama rafiki au kivyovyote vile mwenzenu nimemshuhudia mitaa fulani ya Nakumatt supermarket hapa moshi akiumbuliwa kwa kukataliwa na huyo demu ambaye anafahamiana naye yaani mpaka nikaona aibu utafikiri nimekataliwa mm.

yaani demu kasema maneno haya "Si tusalimiane tu kawaida kwani lazima uni-hug (Unikumbatie)? Jasho bwana''

Kwa hiyo hala hala kijiti na macho wanawake wote sio sawa kwa hiyo kama umezoea kukumbatia mademu kuwa macho
 
huyo demu mshamba tu!!
 
huyo jamaa anaonekana hana hela niamini mimi

ila yaliotokea aibu naona mimi
 
.ukiwa na sura ya PESA utakumbatiwa tu, kuna wengine wana housing ya pombe wamechoka na kuchakaa, hata mie nakukwepa tu..au nikukute unatoa mate na wayumba ka teja hapo napo ukumbatiwe?..
 
Daa!!Nishai kinoma kama mimi kitaa iko sipiti hata wik wanisahau kidogo.
 

Huyo demu alikuwa sahihi kukataa,siku hizi kuna ebola!
 
Dada Mmoja alikua anapenda sana kunikumbatia ikabidi siku moja anieleze ukweli kuwa haya manyoya hapa kifuani pangu anayapenda sana na anajiskia raha sana. Mmghh
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…