Unanyoa ama unasuka mtindo gani wa nywele

Mimi nina kichwa kama yai....! Sijui ni style gani itanifaa
 
Mimi nina kichwa kama yai....! Sijui ni style gani itanifaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu umenichekesha sana ila watu hawajui tu kupendeza kwenye kunyolewa napo kunasababishwa na vitu vingi achilia mbali kichwa na nywele...rangi ya mtu mpk muonekano wa sura yake .
 
Yapo majukwaa mahsusi ya masuala haya. Usinchanganye mambo, hapa tuongelee ulimbwende na mitindo.
Najua kwamba kuna hayo majukwaa lakini kwanini tusiongeee mambo ya msingi kila mahali ili watu wahamasike zaidi kubadili mtazamo wa nchi badala ya kutaka kujua nanyoa upara au kiduku alafu nini sasa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…