Unamkumbuka Noel Pagani?

80s ilikuwa miaka ya Disco na kujiachia kavukavu ndio Ukimwi ulipokuwa umeanza kubisha hodi Bukoba na Kyaka.
 
Milli Vannili walitoa boko sana enzi zile kumbe walikua wanawaektia waja
Hata walikua hawaimbi wao yaani full kufuatiasha maneno na actings za kucheba ila waliumbuka japo hua nawakubali sana Fabby na Robb
Kwenye designings,
😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…