Unamkumbuka huyu mwanamke?

KUMBUKA KUWA MWANAMKE HANENEPI KWA VYAKULA VILE UNAVYOLETA NYUMBANI BALI MWANAMKE HUNENEPA IKIWA ATAKUWA NA AMANI MOYONI....
Hayp yote uliyoyasema ni sawa kabisa ila hapo kwenye unene ni kwel sio vyakula tunavyoleta ila Chips bwana chips habar nyengne lazma wanenepe
 
I wish kuna mtu angesoma hapa nadhani angejisuta, ila cdhan km anatumia jf. Lkn malipo duniani...[emoji58]
 
Bahati mbaya au nzuri kipindi nikiwa kwenye hzo hatua za chini ckumpata ata wa kunipa salamu so cjaona cha kujifunza hapo.
My take..kama kweli yupo mwanamke alie kukuta kwenye hzo hatua 'mbovu' ulivyoanza kuona mwanga ukammwaga zingatia hii Mada ya mtoa uzi itakusaidia.
 
Hakuna hata la kuongezea umemaliza kil kitu
 
Walikuwepo zamani hao

Wa sikuhizi hata kukupikia mchana mmoja sahau.

Atakuuliza tu bae tunaenda kula wapi leo? Hivyo huwezi kuwaza kumuoa bali ni kuhit and run

Wa dizain hizo walishapotea.
 
Walikuwepo zamani hao

Wa sikuhizi hata kukupikia mchana mmoja sahau.

Atakuuliza tu bae tunaenda kula wapi leo? Hivyo huwezi kuwaza kumuoa bali ni kuhit and run

Wa dizain hizo walishapotea.
Wapo wengi2..Ni kwamba tushajijengea dhana potofu mojawapo ni kudhan kuwa wanaume wote ni sawa which is very wrong;vivyo hivyo kwa wanawake sio kila mmoja ni wa digital
 
Wapo wengi2..Ni kwamba tushajijengea dhana potofu mojawapo ni kudhan kuwa wanaume wote ni sawa which is very wrong;vivyo hivyo kwa wanawake sio kila mmoja ni wa digital
Yaani ukifanikiwa kupata wa hivyo ni mmoja kati ya million moja.

Nikipata wa hivyo na mahari si natoa hapo hapo,

Majority hata ukiwapima tu kuwaambia mfano:

"naomba uende home ukamcheck mama yangu ni mgonjwa" atakupiga chenga haswa, wao wanawaza tu starehe.
 
Ila nisikatae maana wapo wa dizain hiyo ila wanaojielewa pia wapo tena wengi2 ila hao wachache ndo wanaoharibu mzunguko....Mimi huwa naambiwa mwanamke haolewi kwa vile ni mzuri ila anaolewa mwanamke anaestahili kuolewa kitu ambacho ni kweli kabisa na hata kwa wasanii wetu wa kike wa kibongo hata na nje pia imedhibitika;wanachukulia uzuri ndo kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…