Unakumbuka nini ukiona hii

Mi nakumbuka nilivyokua naenda kuchukua bahasha ya buku kumi(bluu) toka kwa mshua wakati niko skuli kuliko kusubiria mesenja abandike majina ya TMO
 
Zilikuwa bus za uhakika mno. Ukipanda tu una uhakika kushukia Iringa salama salimini
 
Kipindi npo darasa la nne kila siku nilikua nakula bakora za ticha kisa kuchana karatasi za daftar lake ili kuchora tu hayo magari...

Yule ticha sijui alikua mchawi maana nlikua nachana zile page za katikati hata haionyeshi sasa ngoja aje aguse daftari ...
 
Daah! Hivi zipo wapi sasa au wamezibadilisha majina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…