harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,918
[emoji4] [emoji2] [emoji2] eti wali unamaweMimi nlikua mvivu balaa
1) mende akiingia ndani nlikua siangaiki nae namuacha ale jeuri yake..hamalizi siku mbili bila kumkuta kafa
2) sikuwai kupika wala kua na jiko
3)nikianua nguo nlikua nazitupa kwenye sofa nazivaa ad ziishe bila kukunja wala kupasi
4)nlikua na pasi lakini naweza kuiwasha mara2 kwa mwaka
5)suruali za kitambaa na mashart zilikua hazivaliwi labda kuwe na tukio maalumu
6)sikuwai kuogea maji ya moto iwe msimu Wa joto au baridi
7)kuna Mshkaji aliamia siku moja kafoce tupike mi nkapika mboga yeye kapika wali,wali ulikua na mawe balaa ukichota kijiko kimoja kina mawe yasiopungua kumi ikabi tumeze bila kutafuna
Kama na wewe unakituko cha kipindi ukiwa bachelor sio mbaya ukashare hapa.
Kipindi hcho mchele wa shinyanga ulikuaga na vimawe flan iv vyeupe[emoji4] [emoji2] [emoji2] eti wali unamawe
Naona kwa makusudi kabisaNilitokea diploma kwenda bachelor nikaamini najua vitu kwani sikuwa nimebali gani...lakini test ya kwanza tu nili feli vibaya mnoo.(SHKMOO (MU)MILITARY UNIVERSITY) ALFU MWALIMU WASIMO KAMA ALIJUA AKASEMA KAMA UMEKUJA NA DIPLOMA AU 4M6 IYACHA PALE GETINI.
[emoji3] [emoji3] [emoji4]Naona kwa makusudi kabisa
Unaamua kwenda kwa reverse[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh nimekula sana ugali mayai,ugali visamaki vile site mirror japo nilikuwa free ila mitihani ilikuwa mingi sana mara mama mwenye Nyumba, mara bint yake, kugonganisha magali sasa ilikuwa balaa gheto nilikuwa namakufuli kibao kila demu ana funguo yake na kufuli lake
Dah! Jamaa umenitamanisha sana..bado ni bachelor na sioi leo wala kesho....
naenjoy vifuatavyo.....
najipangia ratiba zangu nitakavyo...
nakula ninachojisikia (aidha kujipikia au hotelini )
sigonganishi magari, mm ni dereva muangalifu.
sipangiwi muda wa kurudi, wengine mpo sehem mmetulia kuisindikiza wkend na muziki laini mara msg na simu zisizoisha ,,uko wap, uko na nan, unarud saa ngap, hizo story nazisikia kwa watu...
naweza kusafiri muda na dakika yoyote kulingana na ratiba zangu za kazi bila bughudha...
maji yapo hapa hapa napokaa... huduma zote muhim pia zipo, kinachonikera ni kufua nguo, nalundika zikiwa nyingi nafua zote , naanza kuvaa zikichafuka nafua tena, kuna kabinti ka mama mwenye nyumba mara kananizoea ila nakuwa kauzu... mara nikianika nguo kananianulia na kuzikunja nikirudi kananigea, nikiwa na mgeni yoyote mwanamke kananuna bila kujua huyo ni nani, kanapenda kuja kucheki movie ila ratba zangu ngum sana, narudi late pia nawahi sana kutoka asbh kwa hyo chance yakunizoea sana hapati na mm sipendi maana nikiwa nae in relation nitashindwa kuleta mwanamke hapa napokaa.. wkend mara chache ndio nakuwepo japo vimizunguko.....
ubachela raha sana, nikifika 30 au 29 nitaoa
HaahhaahNilitokea diploma kwenda bachelor nikaamini najua vitu kwani sikuwa nimebali gani...lakini test ya kwanza tu nili feli vibaya mnoo.(SHKMOO (MU)MILITARY UNIVERSITY) ALFU MWALIMU WASIMO KAMA ALIJUA AKASEMA KAMA UMEKUJA NA DIPLOMA AU 4M6 IYACHA PALE GETINI.
Sio Bachelor ya chuo kikuu, ni kuwa mtu wakati hajaoa.Nilitokea diploma kwenda bachelor nikaamini najua vitu kwani sikuwa nimebali gani...lakini test ya kwanza tu nili feli vibaya mnoo.(SHKMOO (MU)MILITARY UNIVERSITY) ALFU MWALIMU WASIMO KAMA ALIJUA AKASEMA KAMA UMEKUJA NA DIPLOMA AU 4M6 IYACHA PALE GETINI.