Unakumbuka nini hapa?

Chandimu icho mkuu, ilo kama sio goli basi limegonga mwamba
 
Duu kitambo,hapo najiita Gagarino,tunashindana kupiga danadana hapo na jamaa,umenikumbusha mbali sana mkuu..
 


Tiktaka hiyo mkuu, balaa lake ukifika muda wa kwenda nyumbani manaake mchafu haufai.
 
Ebaanae! hapo lazma licheze na nyavu!
 
wapemba hawakubali wanadai huwezi kuangalia huku (mbele) halafu ufunge huku (nyuma). sio goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…