Afro-Arabica JF-Expert Member Joined Aug 27, 2013 Posts 1,107 Reaction score 493 Dec 5, 2013 #2 Hatari kwake dereva !! asubiri hadi ipoe...!
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Dec 5, 2013 #3 Hii hatari anataka ababuke uso huyo?mvuke unaunguza kuliko moto!!
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Dec 5, 2013 #4 Alikuwa anataka kutengeneza chang'aa a.k.a gongo imemshinda Lol!
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Dec 5, 2013 Thread starter #5 Anafanya Steaming....akitoka hapo kanawiri
jozzeva JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,193 Reaction score 1,832 Dec 5, 2013 #6 mi nikajua mambo ya minyama ya kuchemsha na ndizi kibaao,
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 5, 2013 #7 Ukumbuke kama ni Ulaya pia kuna baridi kwa sasa
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Dec 5, 2013 #8 akitoka hapo hoi
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Dec 5, 2013 #9 jozzeva said: mi nikajua mambo ya minyama ya kuchemsha na ndizi kibaao, Click to expand... Wewe utakuwa jamii ile ya akina Mushi hakika
jozzeva said: mi nikajua mambo ya minyama ya kuchemsha na ndizi kibaao, Click to expand... Wewe utakuwa jamii ile ya akina Mushi hakika
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,853 Dec 5, 2013 #10 Amavubi said: Ukumbuke kama ni Ulaya pia kuna baridi kwa sasa Click to expand... Kwa hiyo ana dilute hali ya hewa hapo...
Amavubi said: Ukumbuke kama ni Ulaya pia kuna baridi kwa sasa Click to expand... Kwa hiyo ana dilute hali ya hewa hapo...