Kirode JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 3,566 Reaction score 84 Feb 2, 2012 #1 Eti we unajivunia kuwa mtanzania au unavumilia kuwa mtanzania. Sorce. Ea radio.
D davidie JF-Expert Member Joined Oct 10, 2011 Posts 329 Reaction score 49 Feb 2, 2012 #2 jingofresh said: eti we unajivunia kuwa mtanzania au unavumilia kuwa mtanzania. Sorce. Ea radio. Click to expand... najivunia kuwa mpole ambae hata nikipigwa ngumi huwa sichukii na ndio maana hata utu wangu hauna maana kwa hawa magamba wanafanya watakalo ni upole zaidi ya kinyonga
jingofresh said: eti we unajivunia kuwa mtanzania au unavumilia kuwa mtanzania. Sorce. Ea radio. Click to expand... najivunia kuwa mpole ambae hata nikipigwa ngumi huwa sichukii na ndio maana hata utu wangu hauna maana kwa hawa magamba wanafanya watakalo ni upole zaidi ya kinyonga