kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
wewe ni dalali au unauza kiwanja/viwanja?Kama kuna sehemu inajengwa kisasa, kimpangilio na kwa utaratibu wa hali ya juu ni kigamboni. Kama umefanikiwa kufika kibada, shangwe, ungindoni na tuangoma utakubaliana na mimi.
Kwa mtu anayehitaji uwanja kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi, kupangisha, masha ama biashara aje inbox tuyajenge na kusaidiana.
Uadilifu na uaminifu ndio mtaji wetu. Karibuni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara Za Kibongo bana, Bado Sana
Poa viwanja vilivyo karibu na beach (beach plots) na viwanja kwa ajili ya uwekezaji wa frems na hostel kwa wanafunzi vinapatikanaKama kuna sehemu inajengwa kisasa, kimpangilio na kwa utaratibu wa hali ya juu ni kigamboni. Kama umefanikiwa kufika kibada, shangwe, ungindoni na tuangoma utakubaliana na mimi.