nkakisali2
Senior Member
- Jun 9, 2022
- 108
- 248
Unaijua Tally vizuri?Habari JF!
Mimi ni Binti nimehitimu Bachelor of Accountancy ninauzoefu wa zaidi ya miaka mitatu kama muhasibu na ninaweza kufanya pia Kazi zingine kama marketing.
Kwa kampuni wanayohitaji muhasibu mzuri nipo hapa na kama Kuna anaweza kunisaidia kupata kazi nitashukuru na sitamuangusha nipo Dar es salaam Asante.
Boss kuna nafasi naomba Mimi tally naijuaUnaijua Tally vizuri?
Usiache kuomba utumishiHabari JF!
Mimi ni Binti nimehitimu Bachelor of Accountancy ninauzoefu wa zaidi ya miaka mitatu kama muhasibu na ninaweza kufanya pia Kazi zingine kama marketing.
Kwa kampuni wanayohitaji muhasibu mzuri nipo hapa na kama Kuna anaweza kunisaidia kupata kazi nitashukuru na sitamuangusha nipo Dar es salaam Asante.
Ndio mkuu naijua vzuriExcel unaijua?
SawaUsiache kuomba utumishi
Nafahamu Quick book mkuuUnaijua Tally vizuri?
Ustaharabu ni kitu cha bure kabisaUliza uliza kwa madanga yako sio unaishia kukazwa na kuachwa
Sawa wewe ni binti,,Habari JF!