Unahitaji kujengewa green House

Unahitaji kujengewa green House

Joined
Jul 3, 2012
Posts
38
Reaction score
36
Kwa mahitaji ya

Kujengewa kitaru nyumba (Green House)

Kutunziwa Green House.

WhatsApp namba +255 620 435 195
 
Mkuu ungefafanua japo kidogo kwa maana watu wengi ni wakulima lakini sio watu wote wanafahamu kilimo cha GREEN HOUSE pia ungesindikiza na picha za kazi ambazo umeshafanya !

Ungetuambia ofisi zako ziko wapi, website ya ofisi kama ipo ili kuondoa watu wasisi mana matapeli ni wengi!


Yangu ni hayo tu kama ushauri.


MATANGAZO MAZURI NI CHACHU KWA MAFANIKIO YA BIASHARA
 
Back
Top Bottom