Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,686
Yale mabenzi pale magogoni yalitoka wapi vile!!!!!Hata watu wamsifie vipi Gaddafi mimi nitaendelea kumchukia kwa kitendo chake cha kumsaidia IDD amin kuua wanajeshi wetu na wananchi wetu kwenye vita ya kagera
Unatenganishaje uhuru na uchumi,hamna bora kuliko mwenzake,hv vitu huenda pamoja.Gaddafi alikuwa mshenzi tu! Uhuru wa wananchi ni muhimu kuliko uchumi! Kuwapa wananchi huduma zao huku ukiweka mipaka mingi kwenye uhuru, ni ushenzi!
Sure my dadaGaddafi alikuwa God Father wa AU, akitoa hoja kiongozi wa nchi yeyote atakae pinga usiku alipelekewa briefcase yenye USA $. Ninaona Mugabe anajaribu kuvaa koti la Gaddafi.
Gaddafi alikuwa God Father wa AU, akitoa hoja kiongozi wa nchi yeyote atakae pinga usiku alipelekewa briefcase yenye USA $. Ninaona Mugabe anajaribu kuvaa koti la Gaddafi.
It was either his say or no say, he never accepted criticism and critisers were his enemies. Gaddafi was a proper definition of a dictator.Kwa mtizamo wako unamzungumziaje Gaddafi.
Mkuu, wewe ukiwa rais na ukaamua kunipa huduma zote mimi mwananchi, lakini ukanizuia kuwa tajiri binafsi, ukanizuia kusafiri, ukanizuia kujenga Viwanda vyangu ndani ya nchi, ukanizuia kuingiza sukari wakati soko linahitaji, ukanizuia kuomba tenda ya uniform za jeshi; ukanizuia kuingiza magari kadhaa ya tour guides ya kampuni yangu! sitakuunga mkono!Unatenganishaje uhuru na uchumi,hamna bora kuliko mwenzake,hv vitu huenda pamoja.
Kwa mtazamo wangu mm,Uhuru ukizidi kuliko uchumi haswa kwa nchi zetu za Africa huleta matatzo sana.
Libya walitaka Uhuru,uko wapi sasa?
Theoretically tunaambiwa uhuru ni lazima ila kiuhalisia hamna nchi wanatoa uhuru 100% kwa wananchi wao na hii ni kuwafanya watu wafocus vitu vya msingi haswa Uchumi.
Sawa, ila kwa mtizamo wangu naona aliwafanyia mengi sana wananchi wakeIt was either his say or no say, he never accepted criticism and critisers were his enemies. Gaddafi was a proper definition of a dictator.
He was good when you submit to him I didn't say he was completely a bad person.Sawa, ila kwa mtizamo wangu naona aliwafanyia mengi sana wananchi wake
Ninadhani ingefika mahala angekubali jua his madaraka na kuruhusu uchaguzi huru, angekuwa na heshima ya baba wa TaifaAlifanikiwa kuinua uchumi
ila kwenye peace of mind ali fail.