Una vyeti, kadi au vitambulisho vingapi?

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,427
Reaction score
10,749
Tanzania vitambulisho vimekua vingi mno. Mie ninavyo vifuatoavyo:
1. Cha kuzaliwa
2. TIN
3. NIDA
4. Cha kazi
5. Lesen ya kazi
6. Leseni ya udereva
7. Kadi ya NMB
8. Kadi ya CRDB
9. Kadi ya Azam
10. Kadi ya Luku
11. Kadi ya NMB saving
12. Kadi ya Mpiga Kura
13. Kitambulisho cha ubatizo
14. Passport
15. Bima 2 za afya!

Nikibeba Vyote najaza mfuko wa Magufuli wa Mia 3!!
 
1. Cha kuzaliwa
2. Cha bodi ya taaluma
3. Leseni
4. Nssf
5. Cha mkazi
6. Cha kazi (x2)
7. Pasi ya kusafiria
8. Kadi za benki (CRDB,STANBIC,NMB)
9. Cha taifa
10. Cha kupiga kura
11. TIN
 
Cheti cha kifo umesahau mkuu....inafika kipindi serikali haiamini kama umekufa
 
Vyote hivyo duh!!.
 
Bdo cha Chanjo ya uviko 19.
 
Cha ajabu, hutakosa ajira ikiwa utaenda kufanya usaili na rundo la vyeti vya kitaaluma, unawapiga chini wale wenye cheti kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…