jiwe gizani JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 380 Reaction score 511 Jun 11, 2021 #1 Ni sahihi au sio sahihi?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Jun 11, 2021 #2 Utaambiwa unalipwa kulingana na unachoingiza
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,867 Reaction score 15,826 Jun 11, 2021 #3 Ni sahihi. Hata hao wachezaji pia hawalipwi mishahara sawa. It's all about levels [emoji119][emoji119].
Ni sahihi. Hata hao wachezaji pia hawalipwi mishahara sawa. It's all about levels [emoji119][emoji119].
jiwe gizani JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 380 Reaction score 511 Jun 11, 2021 Thread starter #4 alubati said: Ni sawa. Hata hao wachezaji pia hawalipwi mishahara sawa. It's all about levels [emoji119][emoji119]. Click to expand... Kuna wa levo za juu wizara ya afya anaelipwa kiasi hicho?
alubati said: Ni sawa. Hata hao wachezaji pia hawalipwi mishahara sawa. It's all about levels [emoji119][emoji119]. Click to expand... Kuna wa levo za juu wizara ya afya anaelipwa kiasi hicho?
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,867 Reaction score 15,826 Jun 11, 2021 #5 jiwe gizani said: Kuna wa levo za juu wizara ya afya anaelipwa kiasi hicho? Click to expand... Wizara ni watoa huduma , mpira wa miguu ni biashara,watumishi wana pensheni uzeeni,wacheza mpira hawana pensheni. So,kila mtu anakula kazini kwake
jiwe gizani said: Kuna wa levo za juu wizara ya afya anaelipwa kiasi hicho? Click to expand... Wizara ni watoa huduma , mpira wa miguu ni biashara,watumishi wana pensheni uzeeni,wacheza mpira hawana pensheni. So,kila mtu anakula kazini kwake
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,144 Reaction score 166,082 Jun 11, 2021 #6 Kila mtu na riziki yake, hata wacheza mpira hawalipwi ujira sana
Kavirondo JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 761 Reaction score 1,617 Jun 11, 2021 #7 jiwe gizani said: Ni sahihi au sio sahihi?View attachment 1814907 Click to expand... Unalipwa kadri ya unachozalisha katika ulimwengu wa biashara. Ukitaka huyo mchezaji asilipwe hivyo maana yake anayefaidika ni mmiliki wa timu. Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
jiwe gizani said: Ni sahihi au sio sahihi?View attachment 1814907 Click to expand... Unalipwa kadri ya unachozalisha katika ulimwengu wa biashara. Ukitaka huyo mchezaji asilipwe hivyo maana yake anayefaidika ni mmiliki wa timu. Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
mzenjiboy JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 907 Reaction score 387 Jun 11, 2021 #8 Hakuna neno “lifes” hapo ni kuchezewa akili tu, kuweni makini.
jiwe gizani JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 380 Reaction score 511 Jun 12, 2021 Thread starter #9 mzenjiboy said: Hakuna neno “lifes” hapo ni kuchezewa akili tu, kuweni makini. Click to expand... Sawa
mzenjiboy said: Hakuna neno “lifes” hapo ni kuchezewa akili tu, kuweni makini. Click to expand... Sawa