nickvalerion2810
Senior Member
- Mar 31, 2015
- 112
- 36
Naanza kuona umuhimu wa nchi kuongozwa na waalimu....mwalimu nyerere na mwl( Dkt) Magufuli wana ideology sawa....
Hili ni funzo kwa serikali kuwathamini waalimu maana waalimu wakishika nchi wananyosha maelezo....wanawafundisha viongozi tena waliowafundisha primary.....
Nahisi its high time ipite sheria kuwa Rais lazima awe alipitia UALIMU
Walimu kiukwel wana special skills. Sijui kama Mwl. anaweza ogopa kukuchapa eti kisa jioni utampopoa mawe. Since Mwl. ni mwnambele hata darasani na hawatakii mabaya wanafunzi wake ambao sio watoto au hata pengine ndugu yake huwasaidia kwa Upendo na lastly unatoboa maishani. Tunawaambia viboko visifutwe ona Mwl. Magu verses Maja wanavyotoa dozi iliyoyoenda shule. So is likely we will excel. Hzi fani nyingine hzi bhana longolongo sana kama sheria, wachumi, accountant and alike wawe watendaji ila menegment & leadership waachieni walimu jaman!!
Naanza kuona umuhimu wa nchi kuongozwa na waalimu....mwalimu nyerere na mwl( Dkt) Magufuli wana ideology sawa....
Hili ni funzo kwa serikali kuwathamini waalimu maana waalimu wakishika nchi wananyosha maelezo....wanawafundisha viongozi tena waliowafundisha primary.....
Nahisi its high time ipite sheria kuwa Rais lazima awe alipitia UALIMU
Mbona journalist na mjeda (mjeshi)wameongoza nchi vizuri mno..!! Tena yule mjeshi tulidhani angeongoza nchi kwa viamri amri, lakini kipindi chake chote amekuwa very civilized and very much socially acceptable man.