political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,950
- 6,390
Since 1960 tumekuwa na amani, what about haki?Ndugu zangu vijana,
Kama kizazi cha leo na kesho, tunabeba nguvu kubwa na nafasi ya kipekee katika kujenga taifa lenye maendeleo na ustawi. Lakini ili tufikie ndoto zetu na kuona taifa letu likisonga mbele, tunahitaji kitu kimoja muhimu sana—amani na mshikamano.
Amani si jambo la kawaida; ni zawadi tunayopaswa kuilinda kila siku. Bila amani, hata malengo yetu ya elimu, biashara, ajira na ubunifu hayawezi kutimia.
Kila wakati tunaposhirikiana katika kazi, michezo, harakati za kijamii au hata mitandaoni, tunakuwa sehemu ya ujenzi wa taifa linaloheshimu tofauti na kupokea mawazo mapya bila chuki.
Vijana wenzangu, mshikamano ni nguzo inayotuwezesha kusimama pamoja bila kujali tofauti zetu za kikabila, kidini, kisiasa au mazingira tulikotoka.
Tunapoungana, tunakuwa na nguvu ya kupambana na changamoto zinazotukabili kama ukosefu wa ajira, matumizi mabaya ya madawa, na migawanyiko ya kijamii. Mshikamano unatujenga kuwa jamii inayojali, inayosikiliza na inayoshirikiana katika kutafuta suluhu.
Tuache maneno ya kuchochea. Tuache kuvunjana moyo. Tujenge tabia ya kuheshimiana, kushirikiana na kutafuta njia za kujenga badala ya kubomoa. Amani na umoja wetu ni msingi wa maendeleo ya taifa letu na mafanikio yetu binafsi.
Ni wajibu wetu—sio wa mtu mwingine—kulinda amani. Tuanze na sisi: kwenye familia, mitaani, shuleni, kazini na hata katika namna tunavyoandika kwenye mitandao. Tukiwa na amani na mshikamano, hakuna lengo lisilowezekana.
Mimi na wewe tunaweza kuwa chachu ya mabadiliko. Tuchague amani. Tuchague mshikamano.
Haki inapatikana kwenye maridhiano na kuliponya taifaSince 1960 tumekuwa na amani, what about haki?
Amani ambayo mwenye haki ni mtaeala tu sio amani. Ni unafiki
Nope amani imekuwepo muda mrefu, watu wamekuwa wakiidai haki for years , watawala walisikia?Haki inapatikana kwenye maridhiano na kuliponya taifa

Malaya wa misikitini mnaubiri AMANI ...SISI WENYE AKILI TUNAUBIRI HAKI ...hivyo huo upumbavu wako peleka kwa mashekh twani wa bakwata na muhuni mwamposa.Ndugu zangu vijana,
Kama kizazi cha leo na kesho, tunabeba nguvu kubwa na nafasi ya kipekee katika kujenga taifa lenye maendeleo na ustawi. Lakini ili tufikie ndoto zetu na kuona taifa letu likisonga mbele, tunahitaji kitu kimoja muhimu sana—amani na mshikamano.
Amani si jambo la kawaida; ni zawadi tunayopaswa kuilinda kila siku. Bila amani, hata malengo yetu ya elimu, biashara, ajira na ubunifu hayawezi kutimia.
Kila wakati tunaposhirikiana katika kazi, michezo, harakati za kijamii au hata mitandaoni, tunakuwa sehemu ya ujenzi wa taifa linaloheshimu tofauti na kupokea mawazo mapya bila chuki.
Vijana wenzangu, mshikamano ni nguzo inayotuwezesha kusimama pamoja bila kujali tofauti zetu za kikabila, kidini, kisiasa au mazingira tulikotoka.
Tunapoungana, tunakuwa na nguvu ya kupambana na changamoto zinazotukabili kama ukosefu wa ajira, matumizi mabaya ya madawa, na migawanyiko ya kijamii. Mshikamano unatujenga kuwa jamii inayojali, inayosikiliza na inayoshirikiana katika kutafuta suluhu.
Tuache maneno ya kuchochea. Tuache kuvunjana moyo. Tujenge tabia ya kuheshimiana, kushirikiana na kutafuta njia za kujenga badala ya kubomoa. Amani na umoja wetu ni msingi wa maendeleo ya taifa letu na mafanikio yetu binafsi.
Ni wajibu wetu—sio wa mtu mwingine—kulinda amani. Tuanze na sisi: kwenye familia, mitaani, shuleni, kazini na hata katika namna tunavyoandika kwenye mitandao. Tukiwa na amani na mshikamano, hakuna lengo lisilowezekana.
Mimi na wewe tunaweza kuwa chachu ya mabadiliko. Tuchague amani. Tuchague mshikamano.
Huna popote unapoongelea haki, unaleta porojo za amani ambazo zimetufanya tuishi kwa kutekwa na genge la rais. Watu walikuwa wanatekwa ili kujenga hofu rais na wanaccm wenzake wakae madarakani kwa shuruti hukujali hilo. Leo hii watu wanatafuta haki zao zilizopotea unatuimbia habari za amani isiyo na tija.Ndugu zangu vijana,
Kama kizazi cha leo na kesho, tunabeba nguvu kubwa na nafasi ya kipekee katika kujenga taifa lenye maendeleo na ustawi. Lakini ili tufikie ndoto zetu na kuona taifa letu likisonga mbele, tunahitaji kitu kimoja muhimu sana—amani na mshikamano.
Amani si jambo la kawaida; ni zawadi tunayopaswa kuilinda kila siku. Bila amani, hata malengo yetu ya elimu, biashara, ajira na ubunifu hayawezi kutimia.
Kila wakati tunaposhirikiana katika kazi, michezo, harakati za kijamii au hata mitandaoni, tunakuwa sehemu ya ujenzi wa taifa linaloheshimu tofauti na kupokea mawazo mapya bila chuki.
Vijana wenzangu, mshikamano ni nguzo inayotuwezesha kusimama pamoja bila kujali tofauti zetu za kikabila, kidini, kisiasa au mazingira tulikotoka.
Tunapoungana, tunakuwa na nguvu ya kupambana na changamoto zinazotukabili kama ukosefu wa ajira, matumizi mabaya ya madawa, na migawanyiko ya kijamii. Mshikamano unatujenga kuwa jamii inayojali, inayosikiliza na inayoshirikiana katika kutafuta suluhu.
Tuache maneno ya kuchochea. Tuache kuvunjana moyo. Tujenge tabia ya kuheshimiana, kushirikiana na kutafuta njia za kujenga badala ya kubomoa. Amani na umoja wetu ni msingi wa maendeleo ya taifa letu na mafanikio yetu binafsi.
Ni wajibu wetu—sio wa mtu mwingine—kulinda amani. Tuanze na sisi: kwenye familia, mitaani, shuleni, kazini na hata katika namna tunavyoandika kwenye mitandao. Tukiwa na amani na mshikamano, hakuna lengo lisilowezekana.
Mimi na wewe tunaweza kuwa chachu ya mabadiliko. Tuchague amani. Tuchague mshikamano.
Mmekazana kuimba Amani! Amani! Amani! hivi kuna amani bila Haki???Ndugu zangu vijana,

Sema maridhiano aliyoahidi mama Samia alipoingia baada ya Magufuli yalikwamishwa na nini? Ama alidhani ataendelea kupora uchaguzi na kuja na ngonjera za maridhiano fake tukubali? Maridhiano ya kweli yatapatikana iwapo atastep down na kuundwa serekali ya mpito, ili tupate katiba mpya. Hakuna woaga na wajinga wa kudumu.Haki inapatikana kwenye maridhiano na kuliponya taifa