B BERN_92 New Member Joined Nov 4, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Dec 11, 2015 #1 Nataka kujua elim ya kidato cha sita ina msaada gani mtaani?
D Daren Dedan Member Joined May 6, 2014 Posts 10 Reaction score 2 Dec 12, 2015 #2 ina msaada, kwani unapomaliza kidato cha sita unaenda moja kwa moja chuo kuanza degree halafu ukipitia kidato cha sita unaonekana educate person hata kupata kazi ni rahisi sana tofauti na asiyepitia kidato cha sita
ina msaada, kwani unapomaliza kidato cha sita unaenda moja kwa moja chuo kuanza degree halafu ukipitia kidato cha sita unaonekana educate person hata kupata kazi ni rahisi sana tofauti na asiyepitia kidato cha sita