Hahahahaha dahhKuna watu wana mioyo migumu,me hata mwanamke alyenizidi sekunde kwenye kuzaliwa simtaki,sasa huyo anaeoa aliyemzidi miaka minne sijui anawaza nin kuoana na mtu sawa na mama ake!
Nikweli mkuuUsiogope siku hizi mambo ya umri sio ishu kabisa.
Wewe kaa sehemu ambayo upo comfotable.
Kama mnapendana kubali akuvishe pete.
Mh !sawa na mama yake?!....hayajakuteka mahaba wewe.Kuna watu wana mioyo migumu,me hata mwanamke alyenizidi sekunde kwenye kuzaliwa simtaki,sasa huyo anaeoa aliyemzidi miaka minne sijui anawaza nin kuoana na mtu sawa na mama ake!