Huyu naye yupo kama nkurunzinzaNini matokeo yake wakishutumu
HahahaHuyu naye yupo kama nkurunzinza
duh aachane nayo tu mwishowe watamuuaAnataka kula mema ya nchi Madaraka matamu kwa waliyonayo
mara ngap rais wa US amelisemea hiloMbona hao wamarekani hawatuambii wasiwasi wao kuhusu mauaji ya wamarekani weusi nchini mwao?
Mara ngapi viongozi wa Afrika wakielezea wasiwasi wao kuhusu mauwaji ya wamarekani weusi?mara ngap rais wa US amelisemea hilo
mara ngapi viongozi wa afrika wanaelezea wasiwasi wao kuhusu uchaguzi ugandaMara ngapi viongozi wa Afrika wakielezea wasiwasi wao kuhusu mauwaji ya wamarekani weusi?
Sasa hilo ndio jambo linalorakiwa, sio mtu yuko bara lingine anauliza matatizo ya nchi nyingine utadhani ni kwao.mara ngapi viongozi wa afrika wanaelezea wasiwasi wao kuhusu uchaguzi uganda
mara ngapi viongozi wa afrika wanatembeza bakuri nchi za mabara mengine?Sasa hilo ndio jambo linalorakiwa, sio mtu yuko bara lingine anauliza matatizo ya nchi nyingine utadhani ni kwao.
Sasa hilo ndio jambo linalorakiwa, sio mtu yuko bara lingine anauliza matatizo ya nchi nyingine utadhani ni kwao.
Kwani wao ugali wao wanautoa wapi kama si Afrika.Lol!,...eti tukiita umbeya tutakosea! 😀
Mkuu, lakini huko kwao ndo tunapata sehemu ya ugali wetu so wana haki ya kufatilia mambo yetu
Ni mara ngapi viongozi wa nchi za magharibi wanatembeza bakuri la kutafuta fursa za uwekezaji Afrika?mara ngapi viongozi wa afrika wanatembeza bakuri nchi za mabara mengine?