Umitashumita na Umiseta

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
mashindano haya huwa mazuri sana hasa pale mnapofanya vizuri katika michezo, nakumbuka nimewahi kufika mkoani kwa uchoraji enzi zile,sema siku hizi wamebaki watoto wadogo wadogo,hata hayanogi,haswa kwa shule za msingi,unakumbuka nini enzi za umitashumita enzi zako?
 
acha kabisa nilianzakucheza umitashumta nikiwa stnd III nina miaka12 kwa ngazi ya wilaya,tulikuwa tukifurahia mapera na sukari guru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…