umri mkuu, waafrika tanadanganya sana umri nakumbuka argentina iliyoshinda mashindano ya olympic 2008 ilikwa na vijana kama messi, aguero, di maria na lavezzi walicheza na Nigeria ambayo ilikuwa moto balaa akina odemwingie, obina, obi mikel,ambrose na anichebe. Lakini leo hao waargentina ndo wanang'aa kwenye ligi mbalimbali uku kizazi hiki cha dhahabu cha nigeria kikipotea labda obi mikel tu ndo aliebaki anacheza level ya juu