Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
Hahahahah nilikuja moja kwa moja hapa nione comment yakoStory tu hizo
Naona wakome kwa uroho wao....kama baba yako hawezi kukununulia lala nyumbaniMtakuja kuua watoto wa watu kwa ubahili,,, mnapenda starehe na hamna pesa...
Hizi hadithi za watoto kijiweniHahahahah nilikuja moja kwa moja hapa nione comment yako
ila zina kaukweli kwambali hahahaHizi hadithi za watoto kijiweni
Ngoja nikajaribu kwanza ntakuletea mrejesho.ila zina kaukweli kwambali hahaha