Waungwana umeme na daraja la Kilombero vitakamilika lini? kwani wakati wa kampeni tuliletewa mpaka mameneja wa Tanesco na kutudanganya kuwa wataleta umeme, kujenga barabara ya lami na Daraja la Kilombero
Thamani ya kura zenu ni kubwa kuliko hilo daraja na umeme mliodanganywa navyo; elimika na uwaelimishe wenzako kuwa tunahitaji kubadiri mfumo ili kila anaeingia ajue tuma uwezo wa kubadiri uongozi kila tunapoona uwajibikaji hauridhishi.