Umeme wa Dowans

Biera

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2010
Posts
464
Reaction score
78
Wadau katika pitapita zangu leo mjini nimewasikia watu wanasema umeme wa dowans umewashwa..kama kuna m2 ana habari kamili naomba atujuze.Nawasilisha!
 
Wadau katika pitapita zangu leo mjini nimewasikia watu wanasema umeme wa dowans umewashwa..kama kuna m2 ana habari kamili naomba atujuze.Nawasilisha!

Mitambo ya DOWANS inafanya kazi kuanzia jana 24/7...

Unataka kuwasaidia mafundi wa pale?
 
Mitambo ya DOWANS inafanya kazi kuanzia jana 24/7...

Unataka kuwasaidia mafundi wa pale?
hapana mkubwa nataka tu kujua na kama kuna makubaliano mengine ya kuchota pesa ze2 walalahoi..
 
Mbona nasikia watu Ubungo-Msewe wameamka na mgawo wa umeme?
 
Kuna thread inaongelea hii. nenda search then fuatilia!
 
Wadau katika pitapita zangu leo mjini nimewasikia watu wanasema umeme wa dowans umewashwa..kama kuna m2 ana habari kamili naomba atujuze.Nawasilisha!

Kabla hujapost, jaribu kuperuzi updates za threads kwenye forum. Kuna thread inazunguka tangu jana kuelezea hilo.
 
DOWANS wamewasha 40MW - kufidia mtambo wa Songas ambao umewaka moto (Ni makubaliano kati ya Songas na DOWANS)!
Duh...it seems haujapunguza mgao maana ume2mika kujazia ule uliokuwa unazalishwa na Songas..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…